facebook Things To Do in Dar Es Salaam: Beaches, Shopping & Museums [Skip to Content]Privacy Policy

Vumbua vitu unavyoweza kufanya ukiwa Dar es Salaam - Kutoka mjini hadi Zanzibar

Zikiwa sehemu zinazovutia kama kisiwa cha Zanzibar na mlima Kilimanjaro, Dar es Salaam ni moja ya sehemu za kipekee iliyo na tamaduni nyingi, sanaa, muziki na historia. Ukiwa ni mji mkubwa Tanzania, karibu ujionee vivutio mbalimbali kuanzia fukwe zenye mchanga safi, maeneo ya kihistoria ikiwemo Oyster Bay, soko la Tinga Tinga na botanical gardens zote zikiwa dakika kadhaa tuu kutoka hoteli ilipo. Nenda hadi kisiwa cha Bongoyo au nunua bidha za sanaa kwenye soko la sanaa Mwenge. Ikiwa uko mjini kwa mapumziko au kibiashara, jichanganye ujue tamaduni zilizopo.
 
Bustani ya mimea Dar Es Salaam

bustani za maua dar es salaam

Samora Avenue, Kivukoni, Dar es Salaam, Tanzania 255-222-162-333
Kipengele: vivutio

bustani za maua dar es salaam

Jionee bustani hii ya kihistoria kuona ukusanyaji wa mimea mbalimbali ya asili na kuona wanyamapori wa ndani.
Makumbusho ya Urithi wa Utamaduni Tanzania

KITUO CHA TANZANIA CHA URITHI WA UTAMADUNI

Dar Es Salaam, Tanzania 255-222-162-333
Kipengele: vivutio

KITUO CHA TANZANIA CHA URITHI WA UTAMADUNI

Kituo cha Urithi wa Utamaduni Tanzania (TCCH) ni sanaa, ufundi na urithi wa nyumba ya sanaa iliyoanzishwa ili kukuza na kuonyesha utamaduni wa Tanzania duniani kote.
Dar Es Salaam Rasi ya Oysterbay, Tanzania

THE OYSTER BAY PENINSULA

Oyster Bay, Dar es Salaam, Tanzania
Kipengele: vivutio

THE OYSTER BAY PENINSULA

Jipumzishe beach, ukila chakula safi cha baharini, na uone wataalamu wa Tinga Tinga na kazi zao katika wilaya hii maarufu.
Dar Es Salaam Tanzania Mabaki ya Soko la Watumwa Bagamoyo

Mabaki Ya Soko La Utumwa La Bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania 255-222-162-333
Kipengele: vivutio

Mabaki Ya Soko La Utumwa La Bagamoyo

Talii ujifunze zaidi kuhusu historia na madhara ya biashara ya Watumwa Tanzania katika alama hii pekee ya kihistoria ya ndani.
Feri ya Zanzibar Dar Es Salaam, Tanzania

Kivuko Cha Zanzibar

Zanzibar, Tanzania 255-222-162-333
Kipengele: vivutio

Kivuko Cha Zanzibar

Fika Zanzibar baada ya masaa 2 tu ukifurahia upepo wa mwambao na boti za feri ukajionee maisha ya pwani.
Katikati ya jiji Dar Es Salaam

Dar Es Salaam Mjini

Dar es Salaam, Tanzania
Kipengele: vivutio

Dar Es Salaam Mjini

Tembelea maeneo ya mji yaliyochangamka, ufike kwenye maduka ya sanaa, ufurahie ladha ya vyakula mbalimbali vya asili, na ujionee sehemu za kihistoria.
Kisiwa cha Bongonyo ndani ya Dar Es Salaam Tanznaia

Kisiwa Cha Bongoyo

Bongoyo Island, Tanzania
Kipengele: vivutio

Kisiwa Cha Bongoyo

Jinafasi kwenye maji safi ya Pwani, swimming pool za uhakika na ufurahie upishi wa kipekee wa vyakula safi vya baharini.
Soko la Tinga Tinga Dar Es Salaam Tanzania

Soko La Tinga Tinga

Oysterbay, Dar es Salaam, Tanzania
Kipengele: vivutio

Soko La Tinga Tinga

Jionee sanaa halisi katika soko hili zikiwemo picha zilizochorwa na mikono, mapambo na ufinyanzi.
 
whatsapp