facebook Bongoyo Island: Beaches, Snorkeling, and Dining [Skip to Content]Privacy Policy
Kisiwa cha Bongonyo ndani ya Dar Es Salaam Tanznaia

Kisiwa Cha Bongoyo

Bongoyo Island, Tanzania
Umbali kutoka hotelini: 1.73 Maili Tembelea tovuti Kipengele: vivutio
Sambaza:
KUHUSU
KABLA YA KUONDOKA
RAMANI/NJIA

Kisiwa cha Bongoyo: Fukwe na chakula

Panda kivuko bahari ya Hindi hadi kisiwa cha Bongoyo pwani ya Msasani Peninsula Dar es Salaam. Sehemu hii tulivu inafaa kwa safari ya kutwa kutoka Ramada Resort Dar es Salaam, ukifurahia siku yako kwenye fukwe zenye mchanga mwenpe na maji safi.
 
Panda boti kwa safari fupi na utapokelewa na kwa ukarimu na wenyeji walio tayari kukutembeza kisiwani. Kula samaki maji chumvi kama Changu na Kalamari kwenye mgahawa. Kisiwa cha Bongoyo ni sehemu sahihi ya mapumziko, kujituliza na kujiliwaza.
 

Maelezo

Bei -

Bei ya kivuko ni shilingi 35,000 (kama dola 20) kwa mtu mmoja. Shade banda inakodoshwa kwa shilingo 5,000 (dola 3) kila mmoja.
 

Masaa -

Kivuko kinakwenda kisiwani kila siku kuanzia saa 3:30 asubuhi kila baada ya masaa 2 hadi saa 9:30 jioni. Kivuko cha mwisho inarudi kutoka kisiwani saa 11 jioni.
 
 

Shughuli

  • Boti
  • Kuogelea
  • Fukwe
  • Kupiga mbizi
  • Matembezi
  • Chakula
 

Maswali na majibu

Wageni wanaweza kufika kwenye kisiwa cha Bongoyo kwa boti au kivuko kutokea SlipWay shopping centre iliyopo Msasani Peninsula pwani ya Dar es Salaam. Kivuko kinaondoka kila baada ya masaa 2 kuanzia saa 3:30 asubuhi na kurudi Dar mwisho saa 11 jioni. Kivuko kinaenda kwa dakika 30 tu.
Tembelea kisiwa cha Bongoyo ufurahie siku nzima kwenye fukwe au kwenye maji safi ya baharini. Ongelea, ota jua, vua samaki au kula samaki maji chumvi ufurahie maisha ukiwa barahi ya Hindi.
 
 

Linki

Ramani/Maelekezo

Endesha kuelekea Kisiwa Cha Bongoyo
Kutoka
AU Ramada Resort Dar Es Salaam
whatsapp