[Skip to Content]Privacy Policy
 
Dar es Salaam, Tanzania  | +255-222-162-333
  • Wasiliana nasi Ramada Resort Dar es Salaam
Hifadhi

Sehemu ya Mapumziko Ramada Dar es Salaam

Vumbua kila kitu ambacho Dar es Salaam inacho ukiwa unakaa katika fukwe ya juu ya mapumziko ya Jangwani. Utapata orodha kamili ya huduma za kifahari zilizoundwa ili kukusaidia upumzike ukiwa na faraja kamili. Tupigie simu leo kuagizia chumba chako, ulizia kuhusu vifurushi vyetu vya kipekee vya likizo au jifunze kuhusu vivutio vya kusisimua na alama za kihistoria zilizopo jirani. Chagua Ramada Resort Dar es Salaam na ujifiche sehemu ya mbele ya fukwe ukijipumzisha mbali na kelele za mjini.
 
Maelezo ya Mawasiliano & Hifadhi
Sehemu ya Mapumziko, Ramada Dar es Salaam
Jengo Na. 170/171 Ufukweni Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania
Simu - +255-222-162-333 | Nukushi - +255-222-647-996 |
Barua pepe: - info@ramadaresortdar.com
Agiza Sasa