[Skip to Content]Privacy Policy
 
Dar es Salaam, Tanzania  | +255-222-162-333
  • Fukwe ya Bluu Hotelini Dar es Salaam
  • Fukwe ya Bluu Hotelini Dar es Salaam
  • Fukwe ya Bluu Hotelini Dar es Salaam
Hifadhi
Fukwe ya Bluu

Ramada Resort Dar Es Salaam

Muonekano tofauti na nyakati nzuri zipo katika orodha ya fukwe ya bluu, juu ya dari yetu ya mapumziko. Kaa chini kwa muonekano wa kuvutia wa Bahari ya Hindi na anga laa kushangaza la bluu huku ukifurahia na kuburudika na kinywaji, burudani mubashara kufurahia na marafiki au familia. Kata kiu yako na mchanganyiko wa vinywaji vyetu vizuri mbalimbali na chaguo la mivinyo na pombe za hadhi ya juu. Ukiwa tayari kwa kitafunwa, chagua kutoka katika orodha ya pizza za moto zilizondaliwa na mpishi wetu tayari na moja kwa moja kutoka katika jiko letu la kuni.

Taarifa kuhusu Mgahawa

  • Sehemu ya juu ya vinywaji
  • Pombe & Mivinyo
  • Muonekano wa fukwe
  • Jiko la kuni la Pizza
  • Vinywaji mchangayiko
  • Burudani mubashara
 
Agiza Sasa