[Skip to Content]Privacy Policy
 
Dar es Salaam, Tanzania  | +255-222-162-333
 • Huduma za Ramada Resort Dar Es Salaam
 • Huduma za Ramada Resort Dar Es Salaam
 • Huduma za Ramada Resort Dar Es Salaam
 • Huduma za Ramada Resort Dar Es Salaam
 • Huduma za Ramada Resort Dar Es Salaam
Hifadhi

Ramada Resort Dar Es Salaam

Vumbua mwenyeji wa huduma za kisasa katika hoteli yetu ya juu ya nyota 5 iliyopo ufukweni Jangwani, jijini Dar Es Salaam. Piga mbizi katika chemchem ya bwawa letu la kuogelea la nje. Zunguka au pumzika katika fukwe yetu binafsi. Jionee safari ya mapishi katika migahawa mitano ya kipekee inayotoa vyakula bora vya Kiafrika na Kimataifa. Panga mkutano au tukio kupitia huduma zetu zenye ujuzi. Ramada Resort Dar Es Salaam ina kila kitu unachohitaji kwa ajili ya kukufariji katika likizo au safari yako ya kibiashara ukiwa Tanzania.

Huduma

 • Migahawa mitano
 • Sehemu ya vinywaji na ya kupumzika juu ya hoteli
 • Burudani Mubashara
 • Usafiri wa kwenda Uwanja wa Ndege
 • Dawati la mbele saa-24
 • Huduma ya mtandao bure katika maeneo ya umma
 • Eneo zuri la maegesho ya magari
 • Duka la zawadi
 • Kituo cha biashara
 • Kituo cha mazoezi
 • Eneo la mbele la Fukwe
 • Bwawa la kuogelea la nje
 • Fukwe binafsi
 • Kumbi za Mikutano & matukio
 • Dawati maalumu la huduma yoyote kwa ajili yako
 
 
 
 
Agiza Sasa