Vumbua vitu unavyoweza kufanya ukiwa Dar es Salaam - Kutoka mjini hadi Zanzibar
Zikiwa sehemu zinazovutia kama kisiwa cha Zanzibar na mlima Kilimanjaro, Dar es Salaam ni moja ya sehemu za kipekee iliyo na tamaduni nyingi, sanaa, muziki na historia. Ukiwa ni mji mkubwa Tanzania, karibu ujionee vivutio mbalimbali kuanzia fukwe zenye mchanga safi, maeneo ya kihistoria ikiwemo Oyster Bay, soko la Tinga Tinga na botanical gardens zote zikiwa dakika kadhaa tuu kutoka hoteli ilipo. Nenda hadi kisiwa cha Bongoyo au nunua bidha za sanaa kwenye soko la sanaa Mwenge. Ikiwa uko mjini kwa mapumziko au kibiashara, jichanganye ujue tamaduni zilizopo.