facebook Dar es Salaam City Centre: Museums, Shopping & Dining [Skip to Content]Privacy Policy
Katikati ya jiji Dar Es Salaam

Dar Es Salaam Mjini

Dar es Salaam, Tanzania
Umbali kutoka hotelini: 9.05 Maili Tembelea tovuti Kipengele: vivutio
Sambaza:
KUHUSU
KABLA YA KUONDOKA
RAMANI/NJIA

Dar es Salaam City Centre: Makumbusho, Shopping na Chakula.

Tembelea maduka, migahawa mbalimbali, makumbusho ya kushangaza na maeneo ya kibiashara ya jiji la Dar es Salaam. Wageni wanaweza kujifunza zaidi kuhusu historia ya mji kwenye ya Taifa na nyumba ya sanaa au kutembelea maeneo ya kihistoria kama Ikulu ya Dar es Salaam.
 
Michezo kwenye viwanja vya Gymkhana na jaribu bahati kwenye Casino ya Las Vegas.
 

Maelezo

 

Masaa -

Hubadilika kulingana na biashara.
 

Hafla

  • Maonyesho ya Kiswahili ya kitalii
  • Minexpo Tanzania
  • Furniture and Decor Expo
 

Shughuli

  • Nyumba za makumbusho
  • Maduka
  • Dar es Salaam Zoo
  • Botanical Gardens
  • Uwanja wa Taifa
  • Klabu za usiku
 

Maswali na majibu

Ukiwa Dar es Salaam unaweza kutembelea maduka ya sanaa na vitu vingingine ukiwa mjini. The basket House na kituo cha sanaa Mwenge ni sehemu zinazofaa kwa ajili ya kazi za sanaa. Mtaa wa Indila Ghandi uliona vito vya thamani unaweza kupata madini ya Tanzanite. Quality Centre ni mall ya kisasa iliyojaa zaidi ya maduka 70 tofauti na jumba la sinema. Kumbuka maduka mengi huwa yanafungwa siku za Jumapili.
Kwa vyakula asili ya Kiafrika na Kihindi, tembelea migahawa mbalimbali Dar es Salaam mjini kwa chakula fresh maji chumvi na viungo. Tembelea Summy's na City Garden kwa msosi mtamu wa Kitanzania. Vyakula vya Kihindi pia vinapatikana mjini na kwenye migahawa kama Red Onion, Alcove na Retreat Restaurant ambayo inasifika mjini.
 
 

Linki

Ramani/Maelekezo

Endesha kuelekea Dar Es Salaam Mjini
Kutoka
AU Ramada Resort Dar Es Salaam
whatsapp