Hoteli yenye mandhari ya beach Dar es Salaam
Njoo ufurahie mandhari ya beach ukijipumzisha kwenye fukwe za Ramada Resort by Wyndham Dar es Salaam. Kukiwa na fukwe binafsi za kuvutia, migahawa ya kiwango cha kimataifa, vyumba vikubwa vyenya balcony [baraza] na kumbi za kipekee za sherehe/ za halfa mbalimbali. Hoteli yetu ni chaguo zuri la mapumziko kwa wageni/wanaosafiri kwa ajili ya biashara na kwa wale wanaokuja kwa mapumziko na kutalii Tanzania.
Kuanzia kwenye kumbi za chakula [cha usiku], utpata /utafurahia muonekano wenye kutuliza mawazo wa fukwe ya bahari ya Hindi. Tunakukaribisha kufurahia utulivu ukiwa pembezoni fukwe ya Jangwani Beach. Muda ndio huu wa kona mengi na ukiwa katikati ya mji, utaona muonekano wa Dar es Salaam usiku, vivutio vya asili mbalimbali na utaweza kuona vivutio mbalimbali kama bustani zenye maua adimu na Oyster Bay Peninsula.