Oyster Bay Tanzania: Shopping, chakula, na fukwe za hadi ya Kimataifa.
Ikiwa kaskazini mwa mji wa Dar es Salaam kando ya Bahari ya Hindi, ndipo ilipo moja ya eneo la kipekee Tanzania.Sehemu yenye fukwe za kipekee na maeneo mazuri, Oyster Bay Paninsula imekuwa ni moja ya sehemu watii huenda na wenyeji pia. Furahia yako ukiwa unaogelea Peninsula au ukiota jua Coco Beach.
Furahia vyakula mbalimbali. Tembelea maduka ya nguo Oyster Bay Shopping Center na ufurahie mziki ukibanjuka usiku. Oyster Bay Peninsula pia ni eneo la Ushirika wa jamii ya sanaa ya Tinga Tinga, ambapo sana maarufu hutengenezwa na kuuzwa.
Maelezo
Masaa -
HubadilikaHafla -
Soko la Mkulima wa kila mweziShughuli
- Fukwe
- Chakula
- Kuogelea
- Nyumba za sanaa
- Shopping
- Usiku