facebook Dar Es Salaam Beach Vacations - Ramada Resort by Wyndham Dar Es Salaam [Skip to Content]Privacy Policy

Jipe raha ukijiachia ufukweni ukiwa mapumziko Dar es salaam

Dar es Salaam nzuri zaidi na kuokoa kwenye makao ya mapumziko ya pwani na vifurushi maalum vya hoteli kutoka Ramada Resort Dar Es Salaam. Njoo ufurahie makazi yetu na ofa za promosheni kwa viwango vya kipekee na malazi karibu na fukwe za uhakika, vivutio, mandhari ya kujiachia, na kurumangia ladha ya vyakula vya pwani.
 
Fanya booking kwa ajili ya honeymoon, mapumziko wikiendi, au fanya booking ya chumba mapema. Timu yetu itakusaidia kufanya likizo yako iwe ya uhakika ikikusaidia kupanga mapumziko yako. Angalia ofa zetu upange mapumziko yako kwa uhakika na promosheni za kipekee.
 
Chinese New Year 5th February 2019

Mwaka Mpya wa kichina 5/2/2019, Vyakula katika Mgahawa wa Sokoni

Karibisha mwaka wa Nguruwe kwa staili katika Mgahawa wa Sokoni kwa vyakula vya asili vya kichina na fasiri za kisasa.
Valentines Day Celebrations 14th February 2019

Siku ya Wapendanao 14/2/2019

Fanya jioni yako iwe ya kipekee na kutokusahau ndani ya Ramada Resort by Wyndham
Dar Es Salaam kabambe ndani ya Ramada Resort Dar Es Salaam

Jiji La Dar

Furahia siku 3 kukikucha ukiwa katika pwani ya Afrika Mashariki, talii mji nusu siku na kwenda kujivinjari kwenye kisiwa cha Mbudya kutwa nzima.
Vifurushi vya fungate ndani ya Ramada Resort Dar Es Salaam

Ofa Za Honeymoon

Jinafasi ukiwa Honeymoon na ofa zinazokupa uhuru wa kuenjoy jiji la Dar.
Ramada Resort Dar Es Salaam, Fupi na Tamu, Tanzania

Njoo Ujichane/Sehemu Ya Kujichana

Njoo ufurahie ofa yetu ya masaa 5 ukiogelea/ukipiga mbizi kwenye swimming pool huku pembeni ukisindikizwa na Pizza mbili za chaguo lako, na vinywaji viwili bure.
Ramada Resort Dar Es Salaam, Fupi na Tamu, Ona Hisi na Chunguza

Nenda Ukajionee Zanzibar

Nenda Zanzibar siku 3 ukajionee maajabu mji mkongwe na wenyeji wao.
Manunuzi ya awali ndani ya Ramada Resort Dar Es Salaam, Tanzania

Ufufuji Wa Kutuma

Okoa 15% kwenye viwango vyetu vya unapoagiza siku 7+ kabla, na nyongeza ya tuzo pointi 100.
Ofa za malazi ya wikiendi ndani ya Ramada Resort Dar Es Salaam,Tanzania

Ofa za Wikiendi

Njoo ufurahie wikiendi yako ukiwa Ramada Resort Dar Es Salaam na ofa yetu ya punguzo.
 
whatsapp