facebook Places to Stay in Dar Es Salaam - Ramada Resort by Wyndham Dar Es Salaam [Skip to Content]Privacy Policy

Sehemu nzuri ya malazi ukiwa Dar es Salaam

Vumbua fursa mbalimbali za jiji la Dar es Salaam ukiwa mapumzikoni hapa Jangwani Beach Resort. Tupigie leo kufanya booking ya chumba, jua kuhusu ofa zetu za kipekee za misimu ya likizo, au jifunze kuhusu vivutio mbalimbali na maeneo mbalimbali ya kihistoria yaliyo karibu. Eneo letu lililo ufukweni, migahawa, na na sehemu ya juu iliyo ya kaunta za baa zinafanya Ramada iwe sehemu ya kipekee ya mapumziko Dar es Salaam. Wasiliana nasi upange safari yako mapema.
Mawasiliano
Wasiliana nasi
Taarifa binafsi tunazokusanya zinatimika tu kwa ajili ya mapendekezo na mahitaji mengine ya kimawasiliano. Tembelea ukurasa wetu wa sera na faragha kuwasiliana nasi ili uweze kupitia au kufuta taarifa zilizokusanywa.
* Sehemu zinazotakiwa
whatsapp