[Skip to Content]Privacy Policy
 
Dar es Salaam, Tanzania  | +255-222-162-333
 • Huduma za Mikutano na Matukio hapa Ramada Resort Dar es Salaam

Hifadhi

Ramada Resort Dar Es Salaam

Panga mkutano wenye mafanikio, mkutano wa mashirika au matukio mengine maalum katika sehemu yetu ya mapumziko ufukweni Dar Es Salaam. Kumbi zetu zipo kwa ajili yako zinakupa samani za mitindo ya kisasa na eneo lenye ukubwa mita za mraba 785 za mikutano na nafasi ya karamu kwa ajili ya matukio makubwa na madogo. Haijalishi ni tukio la aina gani unalopanga, watu wetu wa mipango na wenye vipaji vya mapishi na ari watakusaidia kwa kila hatua. Wasiliana na idara yetu ya mauzo leo kwa SM-MICE@ramadaresortdar.com kujifunza zaidi kuhusu vifurushi vyetu maalumu vya mikutano na matukio. Kwa mipango na maelezo ya kina tafadhali bonyeza hapa

Huduma

 • Huduma za Mikutano
 • Vyumba vya karamu
 • Huduma kamili ya vyakula
 • Vifaa vya sauti na picha
 • Huduma za mipango ya matukio
 • kituo cha biashara
 • Dawati maalumu la huduma yoyote kwa ajili yako
 • Huduma ya mtandao bure katika maeneo ya umma
 • Magazeti ya kila siku bure
 • Eneo la wazi la chakula cha usiku
 • Sehemu ya vinywaji & kupumzika
 • Huduma za haraka za kuingia na kutoka
 • Huduma za usafi wa nguo.
 • Limo / Huduma ya gari kwenda Mjini
 • Usafiri wa kwenda uwanja wa ndege
 
Ombi la Pendekezo
Maelezo ya binafsi yanayokusanywa yanatumika tu kwa kutuma ombi la pendekezo na nyenzo nyingine za utafutaji soko. Tafadhali tembelea ukurasa wetu wa sera ya faragha ili uwasiliane nasi kukagua au kufuta data tuliyokusanya.
Security Code
*  Inahitajika kujaza
Agiza Sasa