facebook Dar Es Salaam Beach Hotel - Ramada Resort [Skip to Content]Privacy Policy

Hoteli iliyo kwenye fukwe kando ya bahari ya Hindi

Jionee uzuri wa utamaduni mahiri wa Tanzania katika hoteli yetu ya Jangwani beach. Ikiwa na eneo kubwa lenye fukwe yenya mchanga safi mweupe ikipakana na kingo ya bahari ya Hindi, Ramada Resort ndio sehemu pekeee tulivu. Talii kwenye visiwa vya Bongoyo na Mbudya, au nenda ujionee masoko ya Tinga Tinga yaliyo Oyster Bay Peninsula.
 
Panda boti utembelee kisiwa cha Zanzibar. Fika katikati ya mji uone sehemu za kihistoria, majengo ya zamani na maisha ya wenyeji wa Dar. Mandhari ya pwani hulifanya eneo sehemu
 

Dar Es Salaam, Ramani ya Tanzania

 
Maeneo yetu
Kuelekea Hotelini
Kutoka:
Kwenda:
whatsapp