Jionee umaridadi wa Botanical Gardens Dar es Salaam
Njoo kwenye bustani ya Botaniki ya Dar es Salaam kwa oasis yenye kivuli iliyojaa mchanganyiko wa mimea ya asili na ya kigeni ikiwa ni pamoja na miti adimu ikiwemo coco-de-mer nje ya visiwa vya Seychelles.Ilianzishwa mwaka wa 1893, bustani hii ya kustaajabisha ni moja ya kivutioa kwa watalii inayowapa nafasi ya kufurahia na kuona mimea asilia kwenye mazingira tulivu. Tembea dakika kutoka Ramada Resort Dar Es Salaam, hadi kwenye bustani zetu zenye vivuli ujipumzishe ukiwa pwani ya Tanzania.
Maelezo
Bei-
Bure.Masaa-
Jumatatu - Ijumaa 3 ash hadi 11 jioni.Shughuli
- Kutalii
- Jionee kilimo cha ndani
- Matembezi
- Bustani
- Tausi
- Mandhari