facebook Zanzibar Ferry: Island Boat Rides to Paradise [Skip to Content]Privacy Policy
Feri ya Zanzibar Dar Es Salaam, Tanzania

Kivuko Cha Zanzibar

Zanzibar, Tanzania
255-222-162-333 Umbali kutoka hotelini: -0.62 Maili Tembelea tovuti Kipengele: vivutio
Sambaza:
KUHUSU
KABLA YA KUONDOKA
RAMANI/NJIA

Feri ya Zanzibar: Boti ya kisiwa kwenda Zanzibar

Maili 28 kutoka Pwani ya Tanzania, panga kwenda Zanzibar. Fika Zanzibar kutoka Dar es Salaam ukila upepo mwanana kwenye ferry. Boti zenye viyoyozi huenda kwa mwendo wa masaa 2 hado Stone town kupitia bahari ya Hindi.
 
Baada ya kupita uhamiaji, watalii wanaweza kuzunguka kutalii mji, fukwe na kufurahia fursa mbalimbali za kitalii.
 

Maelezo

Bei -

Dola 35 kwa kila mmoja kwa tiketi ya kawaida au Dola 50 kwa VIP. Watoto (miaka 5-11) Dola 25. Watoto chini ya miaka 5 ni bure.
 

Masaa -

Boti inaondoka kila siku kuanzia1 asubuhi hadi saa 10 jioni
 
 

Shughuli

  • Boti inayoenda
  • Muonekano wa Bahari
  • Muonekano wa mbuga
 

Maswali na majibu

Wote wanaosafiri na boti watatakiwa kuonesha pasipoti zao na kadi ya homa ya manjano wanapowasili Zanzibar. Kwa sababau Zanzibar ni sehemu ya muungano wa Tanzania, ina kitengo chake cha uhamiaji.
Abiria wote wanaweza kuleta hadi 25kg ya mizigo kwenye feri. Zaidi ya hapo kutakuwa na malipo ya ziada. Ni vyema kusafiri na mizigo michache kuepuka gharama za ziada, cha muhimu kubeba ni mavazi ya kuogelea, losheni ya kuzuia jua, taulo, miwani, nguo za kubadilisha, na pasipoti.
 
 

Linki

Ramani/Maelekezo

Endesha kuelekea Kivuko Cha Zanzibar
Kutoka
AU Ramada Resort Dar Es Salaam
whatsapp