facebook Bagamoyo Slave Market: Explore the Historic Ruins, Museum, and Churches [Skip to Content]Privacy Policy
Dar Es Salaam Tanzania Mabaki ya Soko la Watumwa Bagamoyo

Mabaki Ya Soko La Utumwa La Bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania
255-222-162-333 Umbali kutoka hotelini: 32.10 Maili Tembelea tovuti Kipengele: vivutio
Sambaza:
KUHUSU
KABLA YA KUONDOKA
RAMANI/NJIA

Bagamoyo Tanzania: Kuchunguza mabaki ya Historia, Makumbusho, na Makanisa

 
Lilipokuwa soko la watumwa na soko la michikichi Bagamoyo Tanzania, sasa ni kanisa na makaburi ya wajerumani, makumbusho ya kihistoria na kiwanda cha kutengeneza boti. Wasindikizaji wenyeji wanapatikana ili upate kuelewa upekee wa tamaduni ya waswahili.
 

Maelezo

Bei-

Bure
 

Masaa -

Tuko wazi kila siku
 

Hafla

  • Maonyesho ya sanaa
  • Talii ukiongozwa
 
 

Shughuli

  • Makumbusho ya Historia ya Bagamoyo
  • Nyumba ya Baba wa Kale
  • Kanisa la Bagamoyo
  • Mto Ruvu
  • Makaburi ya Ujerumani
  • Chuo cha Sanaa
 

Maswali na majibu

Maili 75 kaskazini mwa Dar es Salaam, wageni walio Ramada Resort wanaweza kufika kwenye mabaki ya soko la watumwa na gari binafsi au basi. Watalii wanapata mtu mzoefu wa kuwasindikiza, lakini kama watatumia gari binafsi, watapita njia ya Sam Nujoma kuelekea barabara ya chuo barabara ya Bagamoyo. Unaweza kutumia masaa 2 kukiwa na foleni.
Ukiwa unatembelea mabaki ya soko la watumwa Bagamoyo, hakikisha unatembelea makaburi ya kihistoria ya wajerumani, kanisa la Bagamoyo, mto Ruvu, nyumba ya baba wa pili, makumbusho na chuo cha sanaa. Nenda na mwenyeji ujifunze zaidi historia ya mji wa Pwani.
 
 

Linki

Ramani/Maelekezo

Endesha kuelekea Mabaki Ya Soko La Utumwa La Bagamoyo
Kutoka
AU Ramada Resort Dar Es Salaam
whatsapp