[Skip to Content]Privacy Policy
 
Dar es Salaam, Tanzania  | +255-222-162-333
  • Tanzania Centre of Cultural Heritage
Hifadhi
Kituo Cha Urithi wa Utamaduni Tanzania
Kituo Cha Urithi wa Utamaduni Tanzania
Dar Es Salaam, Tanzania Tembelea Tovuti | Vipengele: Vivutio
Kutuhusu
Kabla ya kwenda
Ramani / Maelekezo
Maoni
Chaguo lako la malazi

Ramada Resort Dar Es Salaam

Kituo cha sanaa & kazi za ufundi & nyumba ya sanaa za urithi kilichopo Ramada Resort Dar Es Salaam, kilianzishwa ili kukuza na kuonyesha utamaduni wa Tanzania.
 
TCCH hutoa aina mbalimbali za bidhaa (na zawadi za vitu asili) kama vito vya thamani (au Sanaa ya shanga za Kimasai), uchoraji, uchongaji vinyango, Nguo za asili na mengi zaidi. Kilizinduliwa na Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel, Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni & Michezo na lengo kuu la kituo ni kuhifadhi sanaa za nyumbani, kazi za ufundi & wasanii. Bei ni za kawaida; tunatoa risiti za TRA (Kodi) risiti (pamoja na tangazo la bidhaa) ambapo huwasaidia wateja wetu kutopata shida uwanja wa ndege wakiwa wanaondoka na ni chaguo zuri kwa ajili ya huduma za usafirishaji duniani kote. TCCH huwezesha wageni kuona, kuelewa na kushiriki sehemu ya urithi wa utamaduni tajiri wa Tanzania katika mazingira bora. TCCH inakukaribisha sana, ambapo utaona Tanzania ina mengi zaidi kuliko tu wanyamapori & Mlima Kilimanjaro.
 

Maelezo

Bei -

Shilingi 8,000 (au $ 3) na kuendelea
 

Saa -

Saa 2.30 asubuhi - 2:00 usiku kila siku.
 

Matukio -

Hakuna

Ramani / Maelekezo

Mwelekeo wa Kuendesha gari Kituo Cha Urithi wa Utamaduni Tanzania
AU Sehemu ya Mapumziko, Ramada Dar es Salaam
Andika maoni
Kwa kuwasilisha maoni haya unakubali kuwa maelezo yako ya binafsi yatawekwa hadharani.
*
*
*
*  
*
Namba za Uthibitisho
*  Inahitajika kujaza
Agiza Sasa