Ukitembelea Botanical Gardens Dar es Salaam, tegemea kuona mimea mingi ya kale na pori na mingine ambayo ni adimu kama cco-de-mer palm tree - mimea kongwe ya Seychelles. Mimea mingine ni pamoja na scarlet flame trees, purple bougainvillea, mimea mingine ya mainzi, jacaranda na hibiscus.