facebook Hoteli ina umbali gani kutoka ufukweni? [Skip to Content]Privacy Policy
Ipo hapo tu nje ukitoka! Mchanga mweupe na bahari mwanana pembeni ya bwawa letu la kuogelea na njia nzuri iendayo sehemu kimya,tulivu na yenye amani ya Jangwani Beach.Muonekano mawingu na maji vuguvugu ya bahari hakika ni paradiso.
whatsapp