facebook Je Hoteli ina huduma ya usafiri wa kwenda Airport? [Skip to Content]Privacy Policy
Ndio! Tunafanya. Tujulishe namba ya ndege yako, na tutakuwa Airport tukikusubiri.Umbali ni wa kilometa 28 ambao ni chini ya lisaa limoja tu tutakuwa tumekufikisha kwenye beach yako ya kujinafasi.
whatsapp