Kiukweli kuna jumla ya aina tano tofauti za mapishi. Chagua kuanzia mapishi mepesi,mapishi ya kawaida kwenye Living lounge, Vyakula vya vya mitaani vya hadhi ya kimataifa katika mgahawa wetu wa Sokoni, vyakula vya kitanzania na muonekano wa bahari katika Africana Grill, Tapas na mchanganyiko mbalimbali wa vinywaji katika Ocean's 171, na burudani nzuri juu kabisa ya Hoteli ikiwemo pizza za motomoto na vinywaji murua ndani ya Sky Beach Lounge.