facebook Je, nahitaji pasipoti kupanda boti? [Skip to Content]Privacy Policy
Wote wanaosafiri na boti watatakiwa kuonesha pasipoti zao na kadi ya homa ya manjano wanapowasili Zanzibar. Kwa sababau Zanzibar ni sehemu ya muungano wa Tanzania, ina kitengo chake cha uhamiaji.
whatsapp