facebook Sanaa ya Tinga Tinga ni nini? [Skip to Content]Privacy Policy
Ni sanaa iliyopewa jina la msanii Edward Saidi Tingatinga, ikiwa ni sanaa ya Kitanzania inayojulikana kwa mchanganyiko wa rangi zinazopendeza, na vidoti. Sasa sana ya Tinga Tinga ni sanaa inayojulikana ulimwenguni miongoni mwa wasanii wengi.
whatsapp