Mapishi ya Kuchoma ya Africana
Ikitazamana na Bahari ya Hindi, karibu na bustani za mimea, mchanga wa dhahabu, Africana Grill ni sehemu nzuri. Wapishi wetu waliobobea wanaandaa menyu zilizo na mchanganyiko wa steki laini, kuku, na kondoo, samaki maji chumvi, kamba kochi wanaopatikana kwenye mazingira safi. Jiko letu la wazi linakupa uwezo wa kufurahia ufundi wa wapishi wetu wakiwa jikoni.