Sokoni
Kula vyakula vyenye ladha ya wenyeji wa Dar es Salaam ukiwa kwenye utulivu wa hoteli yetu, kukiwa na chakula cha nyumbani kilichopikwa na viungo vya asili. Hii ni sehemu ya kipekee itakayokupa nafasi ya kufurahia vyakula vya wenyeji. Wapishi wanajiongeza na ufundi wao jikoni wakitumia vitu fresh kutoka sokoni, na umaridadi wa wakichanganya asili ya kiasia na kiafrika kutengeneza vyakula vinavyopenda.