
Bahari171
urahia mchanganyiko wa vinywaji na marafiki au wafanyakazi wenzako katika sehemu yetu nzuri ya vinywaji hapa Hotelini. Chagua kutoka katika orodha ya mivinyo yenye hadhi, vinywaji vikali vya hali ya juu, na chaguo la pombe za kitaifa na kimataifa. Una njaa? Sehemu yetu ya vinywaji inakupa vyakula vyepesi vitamu na vitafunwa vyenye ladha inayoendana kikamilifu na kinywaji chako unachokipenda. Hapa Ramada Resort Dar Es Salaam utajionea maingiliano ya kisasa kati ya fukwe na sehemu ya vinywaji kukupatia mandhari ya kisasa na ya kuburudisha.