facebook Living Lounge - Ramada Resort by Wyndham Dar Es Salaam [Skip to Content]Privacy Policy
  • Mgahawa wa Living Lounge Ramada Resort Dar Es Salaam
Kwa maswali? Tupigie (Jumatatu - Ijumaa saa 3 - 11 jioni)
AU
Living Lounge Ramada Resort by Wyndham Dar Es Salaam

Sehemu ya mapumziko

Living Lounge moja ya sehemu muhimu za hoteli, kwa wageni wetu wanaotaka. Eneo lina mandhari safi na ya kifahari. Wageni wanaweza kuchagua aina tofauti za chai na kahawa pamoja na chaguo la vitafunwa, biskuti, na keki.Hii ni sehemu sahihi ya mikutano ya kibiashara au hafla na marafiki.

Taarifa za mgahawa

  • Kahawa
  • Chai
  • Keki
  • Vinywaji laini
  • Vitafunwa
  • Taa za kuvutia
 
List ya Vyakula
  • Migahawa mbalimbali ya Vyakula

  • Mivinyo ya kulipia

  • Viungo vya kienyeji

  • Sahani za kugawana

  • Sehemu binafsi za juu ya Hoteli

whatsapp